Huyo ni Max Bushoke na wimbo wake wa "Kiu ya jibu". Miaka ya 80sSiisemi kwa kuteta
Naasema hadharani
Kinachonifanya nikonde
Nina kilio cha rohoni.... Mambo ya DDC kwa mbaali huku jibapa linatetemeka tu ninavyo lishambulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]