Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaa yaan ni majanga. Kaumbuka peupeee
Yaani acha tu,nimesikia kuna uzi aliweka kule jukwaa la malalamiko katukana watu hadi basi mods wameufuta na wamempa ban
Kuna mwingine jana jf doctor kule aliweka uzi akaanza kucomment mwenyewe kwa kujijibu bila kujua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…