sembuli2006
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 377
- 2,138
Kichwa kichafu
Mama huyo dume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anaitwa eric nani sijui nimechekaa acha kabisa
Cole worldCole Williams
Carbamazepine
Nimeuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duniani kuna mambo acha kabisacarbamazepine kujaaaa kuna ubuyuuuu
Uwe unatibu nin??Mimi niwe doctor wa wanawake???
Babes habari ya weweCole world
CANTSTOPWONSTOP
Salama mkuu..wewe je
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaazi kwelikweliISIS na ho chi minh watakwenda safari kuangalia na kufungua fursa kwa vijana kusini mwa Tanzania.
Taarifa hii amenipa ho chi minh sijajua agenda zaidi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu mara kwa mara nimekuwa nikiongea na shemeji yangu babe S, kwa kweli haishi kukutaja. Sema tu jamaa yule mjasiria mali wa kuku yule hafai...