Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
U091
Ukiwa na ID mbili hata uwe mwangalifu namna gani kuna siku utachanganya madesa tu hata ufanyeje. Hata huko IG watu wanaumbuka kila leo.Yaani acha tu,nimesikia kuna uzi aliweka kule jukwaa la malalamiko katukana watu hadi basi mods wameufuta na wamempa ban
Kuna mwingine jana jf doctor kule aliweka uzi akaanza kucomment mwenyewe kwa kujijibu bila kujua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf raha sana
Kwema shemeji?Yaani acha tu,nimesikia kuna uzi aliweka kule jukwaa la malalamiko katukana watu hadi basi mods wameufuta na wamempa ban
Kuna mwingine jana jf doctor kule aliweka uzi akaanza kucomment mwenyewe kwa kujijibu bila kujua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf raha sana
Hahaha
Inabidi tuanzie somewhere. At least he is trying. Maprofesa wazima wanasaini mikataba hata bila ya kuisoma..."Tuna bendera, wimbo wa Taifa lakini mali zetu zinachukuliwa. Uhuru wa kweli ni uchumi ambao utalisha watoto wako." - @MagufuliJP
am politicalphobia but i like that [emoji115] statement