Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa na ID mbili hata uwe mwangalifu namna gani kuna siku utachanganya madesa tu hata ufanyeje. Hata huko IG watu wanaumbuka kila leo.

Ni afadhali tu uwe na ID moja na siku ukitaka kuniongelesha mwenyewe unaanzisha uzi kama ule wa Kisonde unajiintavyuu na kujijibu mwenyewe laivu mambo kwisha.
 
"Tuna bendera, wimbo wa Taifa lakini mali zetu zinachukuliwa. Uhuru wa kweli ni uchumi ambao utalisha watoto wako." - @MagufuliJP

am politicalphobia but i like that [emoji115] statement
Inabidi tuanzie somewhere. At least he is trying. Maprofesa wazima wanasaini mikataba hata bila ya kuisoma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…