Narudia hivi hii sikukuu haita acha wallets zenu salama[emoji23] [emoji23]Me inapresha na stress[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi sikukuu hazitawaacha wanaume salama
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hayo magoli yanayofungwa na kina Messi na Ronaldo yana faida gani?
Si majina ya wana JF haya!Majina ya dawa chungu
Mwarobaini
Shubiri
Chrolomphenical
Vitz
Extrail
Zandu
Zongombwela
Kula hilo la kukuunga mkonoKuna watu wana malikes ngoja nikazane, likes tafadhali
pole sanaWallet yangu inazidi kukonda kila uchao.
[emoji15]Ongezea na matumizi ya sikukuu hizi sidhani kama kuna haja ya kuendelea kuwa na wallet.
Ohoooh!Leo jioni natarajia kuondoa battery kwenye simu ili niwe salama.
Unaogopa kuombwa pesaLeo jioni natarajia kuondoa battery kwenye simu ili niwe salama.