Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
U242
Heeee we naweee yaani me nihangaike huko nikuletee ubuyu wa mumeo?Loh! Huo ubuyu ulikuwa unamhusu nani? Andjul ama?
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger Ijumaa alisema wachezaji wanahitaji "uwazi" kuhusu hali yao.
Meneja wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson pia alisema soko linafaa kufungwa mapema alipoulizwa kuhusu juhudi za Barcelona kumtaka nyota wa Liverpool Philippe Coutinho.
Alexis Sanchez hatatizika kurejea kucheza vyema katika Arsenal baada ya kutoridhika wakati wa kipindi cha kuhama wachezaji kilichomalizika wiki iliyopita, meneja wa klabu hiyo Arsene Wenger amesema.
Sanchez, 28, alikaribia sana kuhamia Manchester City dakika za mwisho, lakini Wenger amesema "hana shaka kuhusu fikira na msimamo wa Alexis".