Alexis Sanchez hatatizika kurejea kucheza vyema katika Arsenal baada ya kutoridhika wakati wa kipindi cha kuhama wachezaji kilichomalizika wiki iliyopita, meneja wa klabu hiyo Arsene Wenger amesema.
Sanchez, 28, alikaribia sana kuhamia Manchester City dakika za mwisho, lakini Wenger amesema "hana shaka kuhusu fikira na msimamo wa Alexis".
Hali kwamba soko litafungwa mapema ina maana kwamba klabu zitatakiwa kuharakisha kuwanunua wachezaji baada ya Kombe la Dunia la 2018
Msimu wa 2018-19 utaanza baada ya Kombe la Dunia ambalo litafikia kikomo tarehe 15 Julai nchini Urusi.
Nadharia. Nadharia. Nijibu tu maswali hayo kwanza mkuu. Huwezi jua. Vitabu hivyo pengine nilishavisoma...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba upitie hivyo vitabu kwanza then uje tudiscuss bro.
Ila utajiri unaanzia kwenye mindset
legendary samora machel
Mzee ya pori vip?Haya mambo ni magumu bageshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilio cha nini tena? Everything gonna be alright [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]