Mambo mengi hufanyika sekunde za mwisho ambayo huwa nayajutia. Hii ndiyo maana ninaamini kwamba wakati umefika tubadilishe sheria na tuwe tukifunga soko kabla ya msimu kuanza.
"Wachezaji hawajui hatima yao. Wako ndani au nje? Kuna wengine ambao wanachukuliwa na watu alasiri ya mechi, watu wanaotaka kuwachukua.
"Soko limefungwa kwa sasa, kulikuwa na mambo mengi sana yaliyokuwa yanaendelea. Ni vigumu sana kuzungumza kuhusu hilo kwa sababu Lemar sasa yuko Monaco na lazima aangazie kucheza huko, Sanchez yuko hapa na anaangazia hapa," Wenger ameongeza.
Dunia mapito tu...Kilio cha nini tena? Everything gonna be alright [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
"Soko limefungwa kwa sasa, kulikuwa na mambo mengi sana yaliyokuwa yanaendelea. Ni vigumu sana kuzungumza kuhusu hilo kwa sababu Lemar sasa yuko Monaco na lazima aangazie kucheza huko, Sanchez yuko hapa na anaangazia hapa," Wenger ameongeza.
Mambo mengi hufanyika sekunde za mwisho ambayo huwa nayajutia. Hii ndiyo maana ninaamini kwamba wakati umefika tubadilishe sheria na tuwe tukifunga soko kabla ya msimu kuanza.
"Wachezaji hawajui hatima yao. Wako ndani au nje? Kuna wengine ambao wanachukuliwa na watu alasiri ya mechi, watu wanaotaka kuwachukua.
Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli ameagiza viongozi wote waliotajwa katika ripoti ya uchunguzi dhidi ya madini ya almasi na tanzanite kujiuzulu mara moja kupisha uchunguzi.
Hata hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwa kamata mara moja wote waliotajwa katika kashfa hiyo ya madini.
George Simbachawene, Waziri wa Nchi, ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) tayari amejiuzulu baada ya matamshi ya rais.
Ripoti za kamati zimewataja baadhi ya viongozi wa serikali akiwemo Naibu Waziri wa Ujenzi,na Katibu mkuu wa wa Wizara ya Nishati na Madini
Magufuli amesema watanzania wanapaswa kuwa na uzalendo na kwamba mfumo utendaji wa madini unapaswa kurekebishwa ili na ufanisi kwa taifa.