Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
U277
Duh aiseeJakitoo jamani punguza mapochopocho. Utaniuwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Yup21:36.
Usiku tulivu
YupDodi
George Simbachawene, Waziri wa Nchi, ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) tayari amejiuzulu baada ya matamshi ya rais.
Ripoti za kamati zimewataja baadhi ya viongozi wa serikali akiwemo Naibu Waziri wa Ujenzi,na Katibu mkuu wa wa Wizara ya Nishati na Madini
Magufuli amesema watanzania wanapaswa kuwa na uzalendo na kwamba mfumo utendaji wa madini unapaswa kurekebishwa ili na ufanisi kwa taifa.
Kamati mbili za uchunguzi dhidi ya madini ya almasi na tanzanite imewasilisha ripoti yake kwa Rais Magufuli Ikulu Dar es salaam.