Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

George Simbachawene, Waziri wa Nchi, ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) tayari amejiuzulu baada ya matamshi ya rais.
Ripoti za kamati zimewataja baadhi ya viongozi wa serikali akiwemo Naibu Waziri wa Ujenzi,na Katibu mkuu wa wa Wizara ya Nishati na Madini
Magufuli amesema watanzania wanapaswa kuwa na uzalendo na kwamba mfumo utendaji wa madini unapaswa kurekebishwa ili na ufanisi kwa taifa.
 
TUNDA la stafeli linatibu magonjwa kadhaa, ikiwamo saratani kwa ubora wa karibu mara 10,000 ya matibabu ya kawaida yanayopatikana kwenye vituo vya afya, utafiti umebaini.

Utafiti huo uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dawa cha Purdue nchini Marekani, umeeleza kuwa mbali na kutibu saratani, tunda hilo pia ni tiba ya matatizo ya msongo na mfadhaiko.
 
Maajabu ya stafeli ni kwamba lina uwezo wa kuangamiza chembehai zenye saratani pasipo kusababisha madhara katika mwili kama zinavyofanya dawa nyingine za ugonjwa huo au mionzi,” imesema sehemu ya utafiti huo uliochapishwa kwa mara ya kwanza katika Jarida la Kemia na Madawa la nchini Marekani, mwaka 2010.
 
Taasisi ya utafiti wa Saratani ya Nchini Uingereza(NIR) ilifanya utafiti wa kwanza kuhusu maajabu ya stafeli mwaka 1976.

Katika utafiti huo ilibainika kuwa majani, mizizi na tunda la stafeli, vina uwezo wa kutibu saratani, lakini matokeo ya utafiti huo hayakutangazwa kwa umma kwa hofu ya kuua viwanda vya dawa za saratani.
 
Inaelezwa kuwa kirutubisho kilichopo katika stafeli kinatumia jina la kibiashara la ‘Triamazon’ na kimepigwa marufuku kutumika nchini Uingereza na Marekani kutokana na uwezo wake mkubwa wa kitiba.

Utafiti mwingine uliofanywa na Chuo Kikuu cha Kikatoliki nchini Korea na kuchapishwa katika jarida la Bidhaa Asilia ulibaini kuwa stafeli lina uwezo wa kuponya saratani ya tumbo.

Utafiti wa chuo hicho ulienda mbali na kusema kuwa tunda hilo linaweza kulenga seli za saratani tu, bila kushambulia seli muhimu za mwili kama ambavyo tiba ya mionzi ifanyavyo.

Tunda la Stafeli lina kirutubisho muhimu kiitwacho Annona Muricata, ambacho ndicho chenye uwezo wa kupigana na maradhi ya saratani.
 
Imeelezwa kuwa stafeli lina uwezo wa kutibu aina 12 za saratani ikiwemo ya matiti, kongosho, mapafu na ya kibofu cha mkojo.

Pamoja na kutibu saratani, kirutubisho hicho kilichopo katika tunda hilo pia huweza kutibu vimelea, shinikizo la damu, msongo wa mawazo, matatizo ya mfumo wa fahamu na sukari.
 
Utafiti huo unaonyesha kuwa kirutubisho kimegwacho katika tunda hilo kinaweza kwa asilimia kubwa kupambana na saratani bila kumuacha mgonjwa na madhara kama kusikia kichefuchefu, kutapika, kupungua uzito na kunyonyoka nywele.

Aidha huweza kuupa mwili kinga na kukupa nguvu bila madhara yasababishwayo na dawa nyingine.
 
Tangu mwaka 1976, tunda hilo liliendelea kufanyiwa utafiti katika maabara binafsi zaidi ya 20duniani.

Stafeli nini?
Stafeli ni tunda la chanikiwiti ambalo linastawi zaidi katika ukanda wa kitropiki.

Mti wa tunda hilo ni mfupi wa wastani, Wabrazili wanauita Graviola na Waingereza wanaliita Soursop. Hapa Tanzani stafeli linajulikana kwa jina jingine la topetope.
 
Kwa Waingereza, tunda hili ni kubwa lenye uchachu wa kati na utamu mwingi. Ndani yake kuna maganda yenye weupe kama sufi na limesheheni juisi.

Mkurugenzi wa Utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Tiba (NIMR) Dk Julius Massaga, alisema taasisi yake haijawahi kufanya tafiti ya aina yoyote kuhusu tiba ya saratani.
 
Tuna kitengo cha masuala ya tiba na mambo mengine lakini hatujawahi kufanyia utafiti tunda la stafeli wala dawa nyingine yoyote ya saratani,” alisema Dk Massaga

Mtaalamu wa masuala ya tiba za vyakula, Boniphas Sosthenes wa kituo cha Tiba cha Neema, jijini Dar es Salaam, alisema anafahamu uwezo huo wa stafeli kutibu saratani, lakini hajathibitisha kitalaamu.
 
Daktari aliyewahi kumtibu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Dk Keisy Mtambo alisema taarifa za kuwa stafeli linaweza kutibu saratani anazisikia, lakini hana uhakika

“Nasema sina hakika kwa sababu satani ina hatua mbalimbali na kwa watu tofauti,” alisema.
 
Back
Top Bottom