mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
My princess Niko hapa hospital kuu ya mkoa hali ni tete sanaAiseeh!huyu jamaa watamuua mda si mrefu
So sad
My princess Niko hapa hospital kuu ya mkoa hali ni tete sanaAiseeh!huyu jamaa watamuua mda si mrefu
So sad
Mwenyekiti wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Taifa mh: Freemani Mbowe Akikabidhiwa Nguo Ambazo Alikua Amevaa Tundu Lissu Zikiwa Zimelowa Damu nyingi, Tumuombee Tundu lissu Kapigwa risasi nyingi tumboni na miguuni hali yake sio nzuri.
Tindu lissu amepigwa risasi kama Sita akiwa anaingia nyumbani kwake Dodoma
Haitakuwa tabu sana wala nini. Maisha yataendelea tu kama kawaida. Tumuombee tu apone ndicho cha muhimu kwa sasa. Mengine yatajipambanua baadaye [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Huyu jamaa ni shida akifa itakuwa tabu sana we need him alive
Mkuu kwa akili ya kawaida hakuna Jinsi ni siasaAmen. Na hakuna ushahidi kuwa kapigwa risasi kwa sababu za kisiasa !!!
Hesabu mhh. Viboko vikitembea nilikuwa naweza kupata A. Hatukuwahi kuambiwa faida yake na nilikuwa nadhani kuwa pengine ni game fulani hivi. Kumbe ndiyo lugha ya ulimwengu huu. Tungekuwa tunaambiwa application yake ingesaidia sana. Wamarekani sasa wanajaribu kufuta baadhi ya tanzu ambazo pengine haziwasaidii wanafunzi. Wengine wanafuta Calculus, Algebra, Geometry na hata Trigonometry. Wanataka kuwa na core math ambayo inamwandaa mwanafunzi kuendana na anachotaka kufanya huko mbele ya safari. Hakuna faida ya mwanafunzi anayetaka kuwa mwalimu wa lugha kumng'ang'ania asome Calculus. Ni kupotezeana muda tu !!!Broo bhana naona hesabu alikuwa adui yako kweli kweli
CANTSTOPWONSTOP
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hesabu mhh. Viboko vikitembea nilikuwa naweza kupata A. Hatukuwahi kuambiwa faida yake na nilikuwa nadhani kuwa pengine ni game fulani hivi. Kumbe ndiyo lugha ya ulimwengu huu. Tungekuwa tunaambiwa application yake ingesaidia sana. Wamarekani sasa wanajaribu kufuta baadhi ya tanzu ambazo pengine haziwasaidii wanafunzi. Wengine wanafuta Calculus, Algebra, Geometry na hata Trigonometry. Wanataka kuwa na core math ambayo inamwandaa mwanafunzi kuendana na anachotaka kufanya huko mbele ya safari. Hakuna faida ya mwanafunzi anayetaka kuwa mwalimu wa lugha kumng'ang'ania asome Calculus. Ni kupotezeana muda tu !!!