Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamke wa shoka [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
82f003adf7b3097a1b97b5fc5a24126a.jpg
 
Mkuu Niko frustrated sana lakini wacha tupate likes tujifariji siamaini Tanzania tumefikia hapo
Subiri kwanza emotions zipungue. Kuna mambo ya hatari sana tayari yanasemwa. Kwa sasa tuelekeze nguvu zote katika kumuombea Lissu apone. Mungu Aguse mikono ya madaktari wanaomshughulikia. Mengine yatajulikana baadaye. Tujizuie sana kufanya speculations wala finger pointing kwa sasa. Mungu Amsaidie..
 
Mkuu hilo ndilo jambo la muhimu lakini naongea kwa uwazi na ukweli akifa huyu jamaa nothing I can tell
 
Back
Top Bottom