Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama ndiye yeye huyu kama anavyodai basi inabidi tu nimuite mwenyekiti wa CHAWAMITA kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
217599021a3a20234f04fefe655c9401.jpg
Mmmh... Naona jua ndio kwaanzaa... Halafuuuu ee niii...
 
Mkuu labda uko mbali reality watu wengi wanamkubali lissu ndio mtu pekee aliyebaki anampinga mkuu wote wameufyata kitendo cha lissu kupigwa risasi na hotuba ya mh dar Leo inaleta maswali mengi kuliko majibu
Kwakweli tukio la Lissu linaumiza sana, haiko poa hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom