Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
U143
HahahahaMmmh... Naona jua ndio kwaanzaa... Halafuuuu ee niii...
Mungu keshatenda maajabu yake tayari. Gari yake imekula risasi si chini ya kumi. Ni miujiza kuwa yu hai!!!Yap ameshatolewa ICU anapelekwa Nairobi kwa matibabu zaidi
Nayaweza yoteHi people
Nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu.
Kazi kweli kweliMungu keshatenda maajabu yake tayari. Gari yake imekula risasi si chini ya kumi. Ni miujiza kuwa yu hai!!!
![]()
AMUN RA
Mpaka habari za lissu nazisoma kwenye uzi pendwa!
Nipo hapa naenda sambamba likes, nikiwa na huzuni kwa matukio mawili tofauti . profesa muaminifu na mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni