Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nani yupo tayari tuanzishe kanisa?
568e5a6b339279548da1898e929055ce.jpg
Hahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usimchokoze Mzee Rutta. Anaweza kuzimwaga namba hata page 6 non stop utafikiri yeye hana ile "You must wait for at least 3 seconds before posting". Watu wataziruka kuzipa likes lakini baada ya masaa mawili matatu unazikuta zote zimeshiba likes za kutosha. Sijawahi kuona popote mtandaoni uzi wenye raha kama huu. Hongera Jembekillo popote ulipo !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka hadi kusikia raha. Uzuri wa huu uzi hakuna kubaguliwa na wote.
 
Asante mkuu. Hilo ndilo lilikuwa lengo kuu la comment yangu. Tuko pamoja mpaka kieleweke. Sema tu namba hazina kikomo na hizi likes sijui mtu ni mpaka ufikishe ngapi ndipo uridhike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom