Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usimchokoze Mzee Rutta. Anaweza kuzimwaga namba hata page 6 non stop utafikiri yeye hana ile "You must wait for at least 3 seconds before posting". Watu wataziruka kuzipa likes lakini baada ya masaa mawili matatu unazikuta zote zimeshiba likes za kutosha. Sijawahi kuona popote mtandaoni uzi wenye raha kama huu. Hongera Jembekillo popote ulipo !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna namna nambari kila mmoja lazima azisome. Rutashubanyuma tupia NAMBARI
Sent using Jamii Forums mobile app