Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3348.JPG
tuombe "MWENYEZI MUNGU TUONDOLEE BALAA NCHINI" "TUENDELEZEE AMANI YETU"
 
Subiri kwanza emotions zipungue. Kuna mambo ya hatari sana tayari yanasemwa. Kwa sasa tuelekeze nguvu zote katika kumuombea Lissu apone. Mungu Aguse mikono ya madaktari wanaomshughulikia. Mengine yatajulikana baadaye. Tujizuie sana kufanya speculations wala finger pointing kwa sasa. Mungu Amsaidie..

What happened? Nilikuwa sijaingia humu JF masaa kadhaa, sehemu pekee ninayoweza kupata yanayojiri Bongo!
 
Back
Top Bottom