Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Hata mimi sipendi kujaji vitu nisivyojua kiundani japo haya matukio zama hizi yamezidi,yalianza kiutani ikaja ya Ben Saanane mpaka sasa tunasubiri uchunguzi,kutekwa,mara kuvamia studioSipendi kujudje mambo mengine at least this one ameshituka
Tuombe Mungu haya mambo yaishe mana huwezi jua kesho itamkuta nani