Hata mimi sipendi kujaji vitu nisivyojua kiundani japo haya matukio zama hizi yamezidi,yalianza kiutani ikaja ya Ben Saanane mpaka sasa tunasubiri uchunguzi,kutekwa,mara kuvamia studioSipendi kujudje mambo mengine at least this one ameshituka
Nimekutafuta tangu jana nikimbie hurricane nije huko umeuchuna tu. Nikipigwa dafrau hapa lawama zote utazibeba. Kwema lakini?