Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Teh teh teh ulikuja kutia macho
hahahahahahahaKata episode hizo.
Kesho viv nije kumdanganya na stori za abunuasi.
Kama dawaHii mida ya wanga shida tupu
na wengine unacheka nao huko.Eeeh![emoji15][emoji15][emoji15]nyie nyie [emoji134][emoji134][emoji134]
Ila alichosema syb na andaeitini inaweza kuwa kuna ka ukweli either wanakazi wanafanya ama wanashida ya kisaikolojia,maana kwa akili za kawaida mmh
Yupo anapigana na mizigo yake huoni usiki huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]andjul uko wap leo swaiba?kuna ubuyu tena double double huku[emoji22][emoji22][emoji22]
na ukileta drama za wakorea ndo tunapishana vizuri bora venture za game of throneKweli kabisa
Series ipo njema sana japo iliniacha ila nitaendelea hivi karibuni.hahahahaha
nipenipe kampani namuuangalia Raymond Reddington hapa THE BLACKLIST
Nakusikiliza hivoo!!!Nikupe ubuyu?au kesho?
Leo kulikoni utaniachaje bhanaAcha kuzingua basi ntarnda kulala ohooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh hapo nimeangalia if loving you was wrong(tena niliishia s2)mwenye hizi wakuu nazitafuta![]()
Mzima sana sijui wewena wengine unacheka nao huko.
Mzima???
Ina maana hawa akina Richaabra/Otieno wameunganishiwa ID ndo wakaishia kuumbuka? Mods kweli wanaweza kufanya hivyo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi paaap wanaunganisha id zako mi nasepa jf