Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Acha nikupe siri kidogo wanaotumia app kuingia id zote ndio wanaumbuka. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani nasubiri siku ujichanganye na ID yako nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitapika pilau aiseeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muache hukoYupo anapigana na mizigo yake huoni usiki huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Reddington mtata sana huyu mzeeKata episode hizo.
Kesho viv nije kumdanganya na stori za abunuasi.
Nimekuja kwa ajili yako humu....Abeee
Habari ya kuadimika leo
GoT hapo freshna ukileta drama za wakorea ndo tunapishana vizuri bora venture za game of throne
Heeee!sasa si ujiongeze tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio hivyo walikuwa wanamchora tu na jamaa ni wa 2010.Ina maana hawa akina Richaabra/Otieno wameunganishiwa ID ndo wakaishia kuumbuka? Mods kweli wanaweza kufanya hivyo?
Nshamalizana nayo.Yupo anapigana na mizigo yake huoni usiki huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sasa wewe line zako ni zipi?GoT hapo fresh
Vikorea hadi niwe na mood au nikose series nzuri
Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show! dume hiloNimekuja kwa ajili yako humu....
Akifikisha umri zaidi nitakuta kuna vyumba vinapangishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahahahaha
Kwa sasa hivi ukija utakuta kibao kimeandikwa tunafuga mbwa mkaliπ
Akikaribia umri wa kuolewa utakuta kibao kimeandikwa tunauza ice creamππ
hahahahahaAkifikisha umri zaidi nitakuta kuna vyumba vinapangishwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo vizuri kabisa mamaMzima sana sijui wewe