Yani muvi ni burudani ila VD na original ni tooooooooooooooooo much kilichokua kinaniboa ni ile mara mtu kafa kesho kachomwa kisu flani kafufuka,ile kufa na kufufuka ndo ilinishindaAngalia hata the originals tu maana ni zipo poa had S4 tu.
Vd imekwisha kuacha S8[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha nikalale[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha nichafue mie we kaote ndoto zile zetu
Loh yaan umepotea ndio ukarudi baada ya masaa manne?Heeee we naweee yaani me nihangaike huko nikuletee ubuyu wa mumeo?
Mtaa wa pili huko kuna dume linatumia ID ya kike
Mwezi kabisa nikiona vita vimenizidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani jiandae kukaa nje ya jf wiki nzima
Inawezekana nisizipende ila nikawa tayari kumsapoti anayezipenda bila wasiwasiUmeona eeh
Weweee kaa kitakp wenzio wanasimama na kunyakua riziki yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitumie flash yako kwa sms nikujazie madude hadi ukimbie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe hadi wewe wafuatilia[emoji134][emoji134][emoji134]
Naona wanaumbuka.
Leo nilitingwa sana acha tu,nimepata mda saa5 sijui saa6 ndo nimerud na saahii naenda kulalaLoh yaan umepotea ndio ukarudi baada ya masaa manne?
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]ndo uanze kuaga mapemaaaMwezi kabisa nikiona vita vimenizidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me hata support siwez kutoa kama sijavutiwa nazoInawezekana nisizipende ila nikawa tayari kumsapoti anayezipenda bila wasiwasi
Hahahahaha ungetulia nayo tu usingedhubutu kuziacha.Yani muvi ni burudani ila VD na original ni tooooooooooooooooo much kilichokua kinaniboa ni ile mara mtu kafa kesho kachomwa kisu flani kafufuka,ile kufa na kufufuka ndo ilinishinda
Lala bhana pumzika bibie.nsamaka nimekuona pole kwa kukesha
Acha me nikalale[emoji42][emoji42][emoji42]
Dogo tunatishiana amani.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]ndo uanze kuaga mapemaaa
Yani namaanisha mfano mtu akiniomba nimsaidie kudownload or kununua ni kama mama viv anavyopenda za kikorea tu halafu mm sizipendiMe hata support siwez kutoa kama sijavutiwa nazo
Hv na ww uko night shift eeeh?Inawezekana nisizipende ila nikawa tayari kumsapoti anayezipenda bila wasiwasi
Hahahah yaan dah eti nimejikuta usingizi unakata ghafla. Acha mie nikamate zamu.nsamaka nimekuona pole kwa kukesha
Acha me nikalale[emoji42][emoji42][emoji42]
dah ilinishinda kwa kweli,mimi zangu ni CIA na FBI na zinazofanana na GOT kama VIKINGSHahahahaha ungetulia nayo tu usingedhubutu kuziacha.