Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Habari za asubuhi
Habari za asubuhi
Salama baba viv... Umeamkaje?Habari za asubuhi
hata sijalala so sijui nimeamkaje kwa sababu sijalala😎😎Salama baba viv... Umeamkaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nichekehata sijalala so sijui nimeamkaje kwa sababu sijalala😎😎
hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nicheke
Hujalala kabisa?
Una stress? au
Kunywa jameson[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji6]
hiyo jameson hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nicheke
Hujalala kabisa?
Una stress? au
Kunywa jameson[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji6]
Poleee baba viv inatokeaga sometimes..... kwahiyo hapo ulipo huna hata mpango wa kufumba jicho[emoji41]hahahahaha
yani nimelala sa 3 nikaamka saa 4 nikaamua kuwatch series tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hiyo jameson hiyo
hahahahaha
kahawa+tangawizi+mlonge vikinishinda nitaingia huko jameson
nilivyoamka nimeshindilia kahawa kweli kweli hapa hata tone la usingizi,uzuri weekend yangu nimeianza leo so mchana ni full usingizi tu,huyu viv atanisamehe tuPoleee baba viv inatokeaga sometimes..... kwahiyo hapo ulipo huna hata mpango wa kufumba jicho[emoji41]
Hebu tuongee seriuz,unatumia jameson?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakukaribisha sana kundini
Ila nataka niache maaana duuuuh[emoji41]
amen
nilivyoamka nimeshindilia kahawa kweli kweli hapa hata tone la usingizi,uzuri weekend yangu nimeianza leo so mchana ni full usingizi tu,huyu viv atanisamehe tu
[emoji41] Yes sir[emoji41]Hebu tuongee seriuz,unatumia jameson?
[emoji120] [emoji120]amen
mtumishi wa BWANA
Mhhhhh!!!![emoji41] Yes sir[emoji41]
hahahahahahyaniiii utaumwa usingizi leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me nacheka tuuuu yaani viv akusumbueeee usilale kabisa [emoji13] [emoji13]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Mhhhhh!!!!
Salute nyingi sana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] ngoja tuone kama hutokuwa humu viv anakusumbuahahahahahah
uzuri ninajua jinsi ya kumtuliza atajikuta ananisindikiza tu na usingizi wangu😎