Baba Viv anaagwa wengine walaaaaah. Makubwa madogo yana nafuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41] [emoji41] baadae baba viv
Atapata salamu zako inshallahAmin
Msalimu viv akiamka
Mungu tayari keshatenda maajabu yake. Land Cruiser yake imekula risasi zaidi ya 10 na ile kutoka akiwa mzima mle tayari tu ni maajabu tosha. Mungu bado Anamhitaji na bila shaka Atapona. Tuendelee kusali [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mwenyezi Mungu tunakuomba umponye haraka Tundu Lissu na uwape nguvu na subira familia yake, viongozi wenzie ndani ya Chadema na TLS, wananchi katika jimbo lake na Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yetu AMEEN.