5. Simba ana uwezo wa kutembea zaidi ya siku nne au tano bila kunywa maji.
6. Familia ya simba inaitwa ‘pride’na inaundwa na dume mmoja na jike mmoja huku watoto wakiwa kuanzia wawili hadi watatu huku miongoni mwa watoto hao mmoja akiwa ni dume.
Nzuri kutazama
Ulicho aminishwa kifanyie uchunguziMaweee! Dunia imegeuka turtle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SadNzuri kutazama
Ya Buyenzeeee. Bagosha !!!
Kichwa wa ubuyuMi sitaki uzi mzima we ingia hapo uone ndio maana nakusubiri wewe tu angalia pengine nilipo kutag leo ukiachana na kule kwa mzee wa like.
[emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji380] [emoji378] [emoji378] [emoji378] [emoji379] [emoji379] [emoji379] Kwa ajili yaoSad
Kuna watu wanawaua
Kwa sababu ya utajiri
Wafe hao WATU sasa ni ZAMU yao
Dadeki
IronYa Buyenzeeee. Bagosha !!!
1.Husaidia uzalishaji wa homoni ya “oxytocin” ambayo husaidia sana mwili kuondoa tatizo la kuhisi upweke, hasira, na kutengwa.
2.Unapomkumbatia mtu, unaupa mwili hali ya kujihisi salama na huru pia.
3. Hug hufanya misuli isinyae hivyo kusaidia kuondoa/kupunguza baadhi ya maumivu ya mwili na kuufanya uwe huru.
Yaani janaHalafu hata kushtuana hakuna dah! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
9. Endapo katika famila ya Simba,akapatikana dume jipya,dume huyo huwauwa simba wadogo na kuwala.
10. Kiumbe pekee ambacho kinaogopwa na Simba ni binadamu