Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Mhhhh!!!!!!!!!!!Michango yote napokea mimi[emoji4][emoji4]
Mhhhh!!!!!!!!!!!Michango yote napokea mimi[emoji4][emoji4]
Dogo huo ubuyu mwenzio nimemung'unya tangu asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humu ndani kuna visa
Hayaaa naja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unanilazimisha kuwa wa maubuyu yenu dogo.
Ila ingia kwenye post uhusika si uzi mzima
Kazi kweli kweliBen Saanane ndo hivyo. Mauzauza tupu !!!
![]()
![]()
AMUN RADah
Giza tupu
Maombi kwa taifa tu
Mi sitaki uzi mzima we ingia hapo uone ndio maana nakusubiri wewe tu angalia pengine nilipo kutag leo ukiachana na kule kwa mzee wa like.Dogo huo ubuyu mwenzio nimemung'unya tangu asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humu ndani kuna visa
Nasubiri waunge ID zako tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DespacitoAMUN RA
[emoji121] [emoji2] [emoji2] [emoji121]Hahahaha
umenikumbusha mbali sana.
Kuna jamaa aliwahi kusema vijana mnalalamika hamna mtaji na wakati kwenye simu umesave watu zaidi ya 500 kila mtu ukimuomba buku na ukamuelezea lengo lako si unapata mtaji safi kabisa
Haya subiri nipatafuteMi sitaki uzi mzima we ingia hapo uone ndio maana nakusubiri wewe tu angalia pengine nilipo kutag leo ukiachana na kule kwa mzee wa like.