Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6880ccb01d4ec79321612b49be960104.jpg
 
Naomba mnichangie ninunue angalau ka-Aifoni seveni jamani. Huu mkweche ninaotumia huu naona umechoka. Sasa hata picha hazionekani. Aaaaarghh!!

Subiri Aifoni eight inakuwa launched in mid Sept! Kwani wewe hutaki kuwa wa matawi bana, uwatambie akina Sikudhani mitaa ya Vingunguti? Tutakuchangia! [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom