Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ujifanye mwanaume? Ujifanye James Delicious? Jaribu halafu ulete mrejesho utakayoyaona huko. Dunia hii iacheni tu izunguke kwenye mhimili wake !!!Sijui na mimi nijaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahaha[emoji122][emoji122][emoji122]hivi vitu vya mitandaoni vinahitaji busara za hali ya juu na macho ya kiroho
[emoji122][emoji122][emoji122]hivi vitu vya mitandaoni vinahitaji busara za hali ya juu na macho ya kiroho
Ganja si mchezo
Jaribu tu na mwandiko wako nilivyoumeza.Sijui na mimi nijaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KweliGanja si mchezo
Unaweza dhani umempata mama Viv kumbeeeee.....hahahaha
ujumbe umefika
Cyclical argument.....I love you because I love you