Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20170907-WA0020.jpg
 
Huyu si kaweka mpaka na picha ikanifanya mpaka nikamsumbua Mr. Cheaman wangu? Watu hawa ni wagonjwa wa akili na wanahitaji attention sana. Hawajahi kupendwa maishani mwao na si ajabu utotoni wamekula fimbo za kutosha na kufokewa na wazazi wao. Zero confidence. I inferiority complex na ishuzi kama hizo. Wenye watoto kuweni makini na malezi ya wanenu jamani !!!
6c7cdd044c8b09ebc13758dae4f302d4.jpg
Kumbe hadi cheaman alienda kule?
Huyo jamaa alituma picha mbili tena ni tofauti watu wakashtuka mapema akaanza kutoa povu
Ila bado sijajua lengo hasa la watu kama hawa ni nini,sijui ni zile tabia za ki kameruni au kuna kingine
 
Si mchezo
 
Lakini kama ni raia mwema sivunji sheria za nchi sina haja ya kuwa na wasiwasi. Cha muhimu ni kuwa mwangalifu sana na haya mambo. It's official, mi sitongozi tena mwanamke wa mtandaoni kamwe. Actually, nilishajifunza hili long time ago !!!
[emoji122][emoji122][emoji122]hivi vitu vya mitandaoni vinahitaji busara za hali ya juu na macho ya kiroho
 
Kumbe hadi cheaman alienda kule?
Huyo jamaa alituma picha mbili tena ni tofauti watu wakashtuka mapema akaanza kutoa povu
Ila bado sijajua lengo hasa la watu kama hawa ni nini,sijui ni zile tabia za ki kameruni au kuna kingine
Mwenyekiti hakwenda ndo maana nilimuwekea hapa. Actually leo sijamuona hapa.

Wengine hawa ni watu wa kitengo wanatafuta data za watu; na wengine ni wenye matatizo ya kisaikolojia wenye attention deficit disorder.
 
Back
Top Bottom