Michango yote napokea mimi[emoji4][emoji4]Naomba mnichangie ninunue angalau ka-Aifoni seveni jamani. Huu mkweche ninaotumia huu naona umechoka. Sasa hata picha hazionekani. Aaaaarghh!!
Wapi nipe link doohJaribu tu na mwandiko wako nilivyoumeza.
Nimekutag kule ujue nilivyo na macho ya kiroho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekutag bhana dogoWapi nipe link dooh
Nahisi nitagundulika ndani ya dakika chache tuUjifanye mwanaume? Ujifanye James Delicious? Jaribu halafu ulete mrejesho utakayoyaona huko. Dunia hii iacheni tu izunguke kwenye mhimili wake !!!
Wapi huko sijaona mimi,nishike mkono basiNimekutag bhana dogo
Better days are gone
Kwa hiyo mko tayari?Hahahaha
umenikumbusha mbali sana.
Kuna jamaa aliwahi kusema vijana mnalalamika hamna mtaji na wakati kwenye simu umesave watu zaidi ya 500 kila mtu ukimuomba buku na ukamuelezea lengo lako si unapata mtaji safi kabisa
HahahahaNaomba mnichangie ninunue angalau ka-Aifoni seveni jamani. Huu mkweche ninaotumia huu naona umechoka. Sasa hata picha hazionekani. Aaaaarghh!!
Another BossLady in the House, HodiiiWapi huko sijaona mimi,nishike mkono basi
Kama una nia kwanini tusiwe tayari?Kwa hiyo mko tayari?
Safi sana KiongoziNaendelea vizuri kiongozi
Unanilazimisha kuwa wa maubuyu yenu dogo.