Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Habari yako kamanda
Habari yako kamanda
Hamna leo siko job mbonaCarba nakuona upo job😎😎
Kiongozi.Wapo huru lakini
Ki ukweli nilikuwa sijawaji isikia hii nchi
Mambo vipi mkuu majukumu yanaendeleaje
Nishike mkono bana me sioniMi sitaki uzi mzima we ingia hapo uone ndio maana nakusubiri wewe tu angalia pengine nilipo kutag leo ukiachana na kule kwa mzee wa like.
HahahahaHamna leo siko job mbona
Katika kipindi hiki kigumu mkuu.
Niko poa kabisaHahahaha
uko poa lakini?
Mwenzio nimwambia siku ya kwanza tu ya ule uzi alivyojiunga bado wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya subiri nipatafute