Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
I want us to be nothing, because only nothing last forever
I want us to be nothing, because only nothing last forever
3.Mwaka 1963 ndiyo mwaka ambao Lamborghini iligunduliwa kabla walikuwa wakizalisha matrekta tu.
4.Lamborghini yenye thamani zaidi duniani ni Lamborghini Reventon inauzwa zaidi ya Shilingi bilioni 3.2 kwa Lamborghini moja.
1.Lamborghini ni jina la mwanzilishi wa kampuni hiyo aliyekuwa anaitwa Ferruccio Lamborgini.
2.Lamborghini yenye mwendokasi zaidi duniani inaitwa (Murcielago R-GT) na mwendo wake ni Kilomita 370 kwa saa.
Arsene WengerThe jiniazi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
The American Team = Dallas Cowoys = Jerry Jones with dem Dallas Cowboys Cheerleaders + a $1.5 billion stadium [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maisha hayo. Kubakia kileleni ni shida ndiyo maana kuna milonge. Tumvumilie kocha wetu mpendwa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arsene Wenger
Huyu mzee aliingia England akiwa haaminiki kabisa badae akajenga imani akajizolea mashabiki wengi duniani mataji yakajaa Highbury sifa zikamuelemea akajua kila siku ni jumamosi sasa hivi hadi mtoto wa shule ya msingi anajua Wenger ni kichomi[emoji16]
8.Magari mengi aina ya Lamborghini yana Engine aina ya V 12 kasoro Gallardo ambayo yana V10.
9.Mmiliki wa Lamborghini mwanzoni alikuwa anaendesha Ferrari ila gari lake lilikuwa na matatizo mengi sana hasa Clutch, hali iliyomuudhi na kusababisha kuanza kutengeneza magari na kuachana na Kutengeneza Ma Trekta.
10.Mwaka 2007 Lamborghini waliuza magari 2580 kiwango kikubwa zaidi ambacho waliwahi kuuza kwa mwaka.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndiyo maisha hayo. Kubakia kileleni ni shida ndiyo maana kuna milonge. Tumvumilie kocha wetu mpendwa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]