mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
99
99
Kweli kabisa
1001000
20:5220:32
Kwani walikuwa majambazi au ... Maana sijaelewa, hivi mtu akuvamie na smg risasi zaidi ya 20 mchana kweupee na si mwizi wa gari wala pesa.... ...leo tunaliwazana hapa kuwa watapatikana mmh , haya. Hivi wale waliomshambulia Absolom Kibanda walipatikana? mnikumbisheWakipatikana wachukuliwe hatua inayostahili ila usijeshangaa ukiambiwa uchunguzi waendelea mwisho wa siku hakuna kinachoendelea
Fananua kisu kipi
Mkuu mambo vipi
Kazi kweli kweliKwani walikuwa majambazi au ... Maana sijaelewa, hivi mtu akuvamie na smg risasi zaidi ya 20 mchana kweupee na si mwizi wa gari wala pesa.... ...leo tunaliwazana hapa kuwa watapatikana mmh , haya. Hivi wale waliomshambulia Absolom Kibanda walipatikana? mnikumbishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo pabaya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina luck vitu fulaniWakipatikana wachukuliwe hatua inayostahili ila usijeshangaa ukiambiwa uchunguzi waendelea mwisho wa siku hakuna kinachoendelea