Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sidhani kama walikuwa ni majambazi au la ila inaelekea walikuwa watu wenye lengo lao..
Kupatikana mmh sijui labda miujiza mana kesi itaishia kwenye uchunguzi wakati files zimetiwa moto
Cha muhimu ni kumuombea tu afya yake iimarike mana malipo ni hapa hapa duniani japo yanaweza chelewa
Na hapo ndipo palipo na tatizo zaidi. Ikiwa amepigwa ili kuuwawa na hajauwawa na muuaji hajulikani, kifuatacho nini? Je Mh Lisu atakuwa huru kukatiza mitaa na vichochoro? Jamani gongeni likes tujisahaulishe na giza hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom