mkuu mbona kwa fujoh ivo[emoji3]*Kila mtu humu atume Picha yake ili ajulikane la sivyo nawaripoti polisi kuwa watu msiojulikana mpo humu*
iPhone 7 /A1786)
sielew ata nimpe nan karata yanguSitaki kukosa hata sekunde moja ya huo mchapo.
Na hapo ndipo palipo na tatizo zaidi. Ikiwa amepigwa ili kuuwawa na hajauwawa na muuaji hajulikani, kifuatacho nini? Je Mh Lisu atakuwa huru kukatiza mitaa na vichochoro? Jamani gongeni likes tujisahaulishe na giza hiliSidhani kama walikuwa ni majambazi au la ila inaelekea walikuwa watu wenye lengo lao..
Kupatikana mmh sijui labda miujiza mana kesi itaishia kwenye uchunguzi wakati files zimetiwa moto
Cha muhimu ni kumuombea tu afya yake iimarike mana malipo ni hapa hapa duniani japo yanaweza chelewa