Killed too soon. Mikaburu hovyo sana!Good person, gone to soon!
Kilicho mponza ni imani yake kali! Akauwa sana watu!Nasikia alienda kuhiji huko Uarabuni alikuwa na msafara ambao utajiri wake wa vito vya thamani ulikuwa haujawahi kuonekana.
We acha naichukia kweli kweli!Killed too soon. Mikaburu hovyo sana!
Nzuri dima pata like, karibu sofa siyo jamviHabari zenu
IndeedMaisha mema
Sijui sana historia yake huyu jamaa. Alikufaje? Alikuwa ruthless? Sikujua aisee. Historia tuliyofundiswa form 2 ni ile iliyorembeshwa tu...Kilicho mponza ni imani yake kali! Akauwa sana watu!
Kama kawaBado likes zinaendelea
Hongera sana kwa mfungoSaumu za mwisho mwisho hizi
Sema moud...babe S
Alikuwa msaidizi wa sultan, sultan akapanda meli kwenda masafa ya mbali afu hakurudi tena! Jamaa aka take over! Kufa kufaana!Sijui sana historia yake huyu jamaa. Alikufaje? Alikuwa ruthless? Sikujua aisee. Historia tuliyofundiswa form 2 ni ile iliyorembeshwa tu...
Huu uzi hauwezi kwisha milele!Watu wamechoka eventually ama? Mbona likes zimedorora sana? Uzi unakaribia mwisho wake ama?
Nzuri......krbHabari za mchana..
MambozSema moud...
zina uvivuSaumu za mwisho mwisho hizi