88
Msisahau maombi kwa TL pleasePata likes weka likes kwa speed ya kutisha.
99
Yani Carba asikudanganye ana bonge la tv la chogoMfadhao wa akili na moyo. Ogopa sana hii kitu Mkuu.
Themanini na nane
1001000
Tisini na tisa
So sadNi kweli Mkuu ni giza kubwa sana. Nahofia kama ataweza kurudia katika hali yake ya kuweza kutembea mwenyewe kwa nguvu zake na kuishi bila kuwa tegemezi kwa familia yake. Tumuombee mwenzetu.
UsingiziYap my dear
HahahahahaMie ni upenzi tu ningependa watoe draw ili kunogesha ligi. mzee wa liver asisome hapa.
Hahaha tunashinda MkuuAfadhali sisi wa Asenooo yaani Rahatupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]