Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ulivyomsifia duh! Akina Mkwawa, Mirambo, Kimweri, Mangungo, Mangi Sina,na wengine umewagusia gusia tu...Kweli mwamba ngoma huvutia kwake !!!Zama za UCHIFU wa Chifu mkakamavu wa KIZARAMO, Chifu aliyemnyongelea mbali mkoloni wa KIINGEREZA huko Panga la Mwingereza VIKUMBURU, Mh Chifu Jasiri, hodari, mkakamavu CHIFU KIBASIRA wa UZARAMO.