myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hajakubali ilala unafosi[emoji3] [emoji3] nilipata shida kubwa kumfarakanisha na mchumba wake wa mwanzo[emoji3] [emoji3] nasubiri kidogo nipeleke mahari usukumani nibebe ngoma[emoji3] [emoji3]kumbe ulikua hujui mtoto kakubali kupanda mount kilimanjaroππ
Nyoka hachezi mbali, unapaswa kupuliza dawa Mara kwa maraNawaza Nyoka tu hapo
sana tuRoberto Baggio
miguu ya chumaRobert Pires
hewalaaNaona mambo ya Mikeka
Hapana mamaa tukio la kupigwa risasi mh lissu si la kawaida angalia magazeti mpka ya michezo wameandika habari ya kupigwa kwake risasi haijawahi kutokea magazeti ya michezo kuandika habari za kisiasa
Kweli mpaka wamefukua ya saa nane sijui nani mwishowe wataanzisha mabishano kama ya siasani. Lissu katuuma wengi ila hatumshindi mkewe au familia yake kwa maumivu zaidi.Wanataka kutukimbiza wale tusiopenda hizo siasa! [emoji3]
Iambie hiyo njemba itume hayo maombi kwa mkewe au wazazi wake. End of story [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈEti njemba inauliza kitaa nikitaka kutuma maombi ya kazi kwenye idara ya watu wasiojulikana nayatuma kwa address ipi!? π±π±π±
Mkasa wa Lissu unatumiwa na watu wengi kisiasa na kiuanaharakati uchwara. Ni hawa hawa polisi wetu wakiuawa kama ilivyokuwa inatokea kule Kibiti wanashangilia. Unafiki mtupu !!!Kweli mpaka wamefukua ya saa nane sijui nani mwishowe wataanzisha mabishano kama ya siasani. Lissu katuuma wengi ila hatumshindi mkewe au familia yake kwa maumivu zaidi.
Mwisho wa siku tutabaguana humu
Asante Numbisa. Binadamu unafiki mtupu!!!Nilitoa ya moyoni tu
Tuko salama kamanda wa pwani. Kwema?