Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jambo....Kila jamba na wakati
Kwema rafiki yangu usiye na makuu Myoya?
Jambo....Kila jamba na wakati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili ndilo tatizo la wengi wetu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sio polisi tu,juzi wamekufa viongozi wa cuf watu wameshangilia na kuwapa dhambi kibao utadhan wao ndio waumba mbingu na nchi. Too much bana akitokewa na tatizo maguful watu watachekelea na kuita karma na majina kibao.Mkasa wa Lissu unatumiwa na watu wengi kisiasa na kiuanaharakati uchwara. Ni hawa hawa polisi wetu wakiuawa kama ilivyokuwa inatokea kule Kibiti wanashangilia. Unafiki mtupu !!!
Cha muhimu Lissu apone tu basi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]