Nimeona anataka kupimwa kipimo cha uchochezi si bure.Leo naona mapema,nenda kule kaone alichouliza mwifwa
Me mzima,jana alikimbia intavyuu yake [emoji23][emoji23][emoji23]Nzuri my dear,za wewe. Ubuyu unaendelea kwenye thread ya richard abdala MMU,namuona kichwa kaweka kambi kule
Sasa dogo ukipigwa ban me nitakuwa katika hali gani[emoji22][emoji22]Nimeona anataka kupimwa kipimo cha uchochezi si bure.
Ananilazimisha kupigwa ban[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Me mzima,jana alikimbia intavyuu yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona watu wanaliendeleza kule
AmenMwenye Enzi Mungu ibariki nchi yangu Tanzania na watu wake wote!