Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Njema kabisa mkuu... za kwako?Habari za jumamosi
Njema kabisa mkuu... za kwako?Habari za jumamosi
Teh teh teh sababu si unajua leo umetimiza ahadi yako ya jana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa mbona akili yako imechangamka sana leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikwambie weakness yako[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dogo mbona waogopa sasa
Acha nikuonee huruma tu,sifukui tena sawa eeh
Yule bishop hana sifa, ni mbinafsi. Kanisa lake lina waumini mamilioni lakini yeye anajinunulia usafiri binafsi wa ghalama kubwa kubwa. hafikilii shule, zahanati, mikopo midogo kwa waumini wake nk. Gonga likes kuepusha povu[emoji3] [emoji3]Hahahahaha
Yupo mtu maarufu sana pale Bishop G
Kweli...Yule bishop hana sifa, ni mbinafsi. Kanisa lake lina waumini mamilioni lakini yeye anajinunulia usafiri binafsi wa ghalama kubwa kubwa. hafikilii shule, zahanati, mikopo midogo kwa waumini wake nk. Gonga likes kuepusha povu[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona ka wataka kudondoka vile
Habari za hukocwakulima stadi wa mpunga wa bonde ufa la RukwaHabari za asbh RUKWA
Habari yako usiyejulikana kutoka pasipojulikana.Humu nahisi nako kuna watu wasiojulikana.... Hahahaaah
Yule bishop hana sifa, ni mbinafsi. Kanisa lake lina waumini mamilioni lakini yeye anajinunulia usafiri binafsi wa ghalama kubwa kubwa. hafikilii shule, zahanati, mikopo midogo kwa waumini wake nk. Gonga likes kuepusha povu[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za kuamka wanawanchi wa jiji la Mbeya sambamba na mbunge kipenzi chenu SUGUHabari za asbh MBEYA