ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kumbe leo asenali inachezaYani Leo karibia big boys wote wanashuka dimbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muache bhana ndo raha ya watoto hiyoShida inakuja pale unapotaka kulala halafu mtoto wako mdogo anakusumbua mara apige kelele Mara akuite kila dakika Mara anataka umpigie hadithi
Hatareee
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama mchina habari yako
Ukiona nyani mzee amekwepa mishale mingiUbora kwishney siku hizi nimekuwa nyani mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tupo pamoja
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Hapa ni muda wa kaisari[emoji41] [emoji41] [emoji41]