Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mzee tapeli upo?
Kabisa naona ho chi minh pamoja na mishale mingi ila bado anang'ang'aniaUkiona nyani mzee amekwepa mishale mingi
Fanya kumhurumia kichwa kichafu[emoji15][emoji15][emoji15]jamani me carb wa cole
Siku hizi hadi ratiba umeanza kujuaKumbe leo asenali inacheza
Cc:SHIMBA YA BUYENZE
Nitakung'ata sikio siku nyingine. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasikiza[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] haya niambie
Salama sijui weweNipo my love. Habari yako?
CantstopwontStop
Kichwa kapata mtu mwingine mtaa wa pili hapo
Mchina post zako mbona zina wasiwasi na mashaka
Hiyo nimepata hapahapa me najua ratiba ya kula na kulala tu[emoji23][emoji23]Siku hizi hadi ratiba umeanza kujua
Unanitesa ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakung'ata sikio siku nyingine. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee mwenzangu umekuja kwa shari au kwa heri?