Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
2. Ipe miguu yako treatment ya kusafishwa/ pedicure ikiwezekana kila baada ya wiki mbili
Sio lazima kupaka rangi kucha kila unapofanya pedicure kama si mpenzi wa kupaka rangi, ila pedicures zinasaidia sana kufanya nyayo na vidole vyako viwe laini na nyororo huku ukiondokana na ngozi ngumu/magaga. Si lazima ifanyike saluni na upoteze hela, inaweza ikafanyika nyumbani kwako kwa kufuata hatua zifuatazo.