Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Linabisha hodi usiku wa manane leo. Tayari mawingu mazito yanapita pita hapa kama vile yanatest zali. Kuko shwari bado.Wee mzee vipi liupepo huko? Limeanza kuvumaga?
Kwema huko Tukuyu? Dadangu na wapwa hawajambo?