Wamegongwa ngapi?
Sisi (eti sisi [emoji23][emoji23][emoji23]) tunacheza saa ngapi? Aseno leo full kipupweeee !!!
Ulifanya la maana. Ni kujipa mateso bure tu !!!My timu pendwa kabla sijastaafu ushabiki! Limoyo langu lilianza kiherehere, badala ya kazi yake ya kusukuma damu, likataka kujiingiza kuishabikia Arsenal! Nikastaafu mara moja! [emoji3]
Ndiyo naamka na ratiba zilinichenga kidogo. Leo tumepata kibonde hasira zote tumemmalizia..Safi sana !!!
Totally. Kwema broDo I look Gifted to you
CantstopwontStop
Ndiyo naamka na ratiba zilinichenga kidogo. Leo tumepata kibonde hasira zote tumemmalizia..Safi sana !!!