Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]My timu pendwa kabla sijastaafu ushabiki! Limoyo langu lilianza kiherehere, badala ya kazi yake ya kusukuma damu, likataka kujiingiza kuishabikia Arsenal! Nikastaafu mara moja! [emoji3]
HahahahahaNdiyo naamka na ratiba zilinichenga kidogo. Leo tumepata kibonde hasira zote tumemmalizia..Safi sana !!!
Hafungwi mtu huku magoli tuNaomba nikufanyie interview na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila mkifungwa lakini
[emoji106][emoji106][emoji106]Weka likes pata likes.
18:45
UnaingiaUsiku huoooo