carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huwa anaondoka bila kuagaWakifungwa ataacha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa anaondoka bila kuagaWakifungwa ataacha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaWazee wa5g[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinipige mawe tu
Huwa anaondoka bila kuaga
NopeMashabiki wengi wa Liverpool ni Yanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
HahahahaaWakifungwa ataacha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Forex tamu sanabahati yako upo mbali umechoka na ku launch forex.
Kesho uanze kunipa maujanja maana mi nilishindwa kufika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha nikaangalie game
HahahahahaLeo nasikia mtandao upo vizuri mara dufu huko 5G tu hata hahishuki. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si kwa mkwara huuMatokeo utayapata hata kabla match haijaisha.
Man U huwa tunacheza dk 45 tu matokeo yanakuwa tayari
Timu pinzani huwa inaomba tuishie hapo ila refa tu ndio analazimisha tumalize 90dk
10' Rashford manages to break down the left flank before trying to pick out Lukaku with a low cross into the penalty area. It's underhit by the youngster, however, and once again Stoke are easily able to deal with the danger.